Tungo Zetu : Msingi Wa Mashairi Na Tungo Nyinginezo by Ibrahim Noor Shariff (2023, Trade Paperback)

Rarewaves (665061)
98.5% positive feedback
Price:
US $34.74
(inclusive of GST)
ApproximatelyS$ 44.65
+ $4.35 shipping
Estimated delivery Thu, 21 Aug - Wed, 27 Aug
Returns:
30 days return. Buyer pays for return shipping. If you use an eBay shipping label, it will be deducted from your refund amount.
Condition:
Brand New

About this product

Product Identifiers

PublisherAfrabia Publishers
ISBN-101399933655
ISBN-139781399933650
eBay Product ID (ePID)22071624395

Product Key Features

Number of Pages222 Pages
LanguageSwahili
Publication NameTungo Zetu : Msingi Wa Mashairi Na Tungo Nyinginezo
Publication Year2023
SubjectSwahili, Africa / East, African
TypeLanguage Course
Subject AreaForeign Language Study, Poetry, History
AuthorIbrahim Noor Shariff
FormatTrade Paperback

Dimensions

Item Height0.5 in
Item Weight11.7 Oz
Item Length9 in
Item Width6 in

Additional Product Features

Edition Number2
Intended AudienceTrade
SynopsisWataalamu wa lugha na fasihi na mila za watu mbalimbali wametuzindua juu ya utajiri wa fasihi ya Waswahili. Katika fasihi hiyo, tungo za Kiswahili ndilo jambo lililojitokeza mbele kwa mwanga wenye kunawiri sana. Profesa Ibrahim Noor Shariff amefanya utafiti mkubwa kabla ya kukiandika kitabu hiki. Natija yake ni kuwa yaliyoelezwa humu yametufunulia mengi yaliyokuwa dafina. Tokea 1988 kilipochapishwa kitabu hiki kwa mara ya kwanza kimekuwa ni kitabu cha kukirejelea kwani kinaeleza yale ambayo watungaji wa tungo za Kiswahili, wataalamu, waalimu na wanafunzi wanaotaka kuelewa khabari za tungo huwa wanakirejelea mara kwa mara ili kupata jawabu za masuala yao. Kitabu hiki kimepangwa vizuri sana kwani kila maudhui yameandikwa chini ya kichwa cha khabari kinachoelezea maudhui yanayofuata. Hali kadhalika, kitabu kina mifano ya tungo za kupigiwa mifano. Yoyote anayetaka kuzungumza khabari za tungo za Waswahili hataweza tena kujadili mengi ya maana iwapo atajinyima fursa ya kusoma yaliyoandikwa katika kitabu hiki cha Tungo Zetu.

All listings for this product

Buy It Now
New
No ratings or reviews yet
Be the first to write a review